Friday, December 12, 2014

ANGEL BENARD - DREAMER ( New Gospel Audio )


Wimbo wa 8 Wiki ya 8 kutoka kwenye album ya NEW DAY ya ANGEL BENARD yenye nyimbo 10, unaitwa DREAMER. "I'm letting go, all of my pity parties,I'm building up my life again..yeah... no more hiding behind my fears, I'm standing up, once again." - Angel Benard. Download hapa pamoja na lyrics: https://mkito.com/song/dreamer/7922

PVCAMBO FT MR BLUE - BAEBY ( New Audio )


Mwanadada hatari sana PVCambo akiwa na track yake mpya ambapo Mr Blue ameshirikishwa. Wimbo unaitwa BAEBY

ROMA - MWANA KONDOO ( New Audio )


Wimbo mpya kutoka kwa ROMA amemshirikisha Stamina, Walter Chilambo na Maunda Zorro.

JOHN MAKIN FT G NAKO - XO ( New Audio )


Wimbo mpya kutoka kwa Mwamba wa Kaskazini JOH MAKINI Ft. G NAKO. Wimbo unaitwa XO.