Monday, November 17, 2014

MWASITI FT KINGZILLA - LEO ( New Audio )


Wimbo mpya kutoka kwa Mwasiti akimshirikisha Kingzilla. Wimbo unaitwa Leo. Pakua kwakuubofya hapa chini...

DULLY SKYES FT MAUNDA ZORRO - THAT'S THE WAY ( New Audio )

Wimbo mpya kutoka kwa Dully Sykes a.k.a. Mr Misifa akiwa na Maunda Zorro. Wimbo unaitwa That's the way.


WALICHOKIFANYA EDDO BASHIRI NA DJ NAS MTIKISIKO MAKAMBAKO 2014 KWA MASHABIKI ( Up Date Info Video )


KAMA ULIMISI HUDHURIA SHOW YA MTIKISIKO MAKAMBAKO 2014, HIZI NDIZO KUFURU ZILIZOFANYWA KWA STAGE KATI YA EDDO BASHIRI,(MTANGAZAJI EBONY FM), NA DJ NAS, (DJ TOKA EBONY FM), DHIDI YA MASHABIKI WAO. NAN ALIFUNIKA? TIZAMA VIDEO HIO HAPO CHINI...