Saturday, February 15, 2014

IZZO BUSINESS - TUMMOGELE

Izzo Business Kuuanza mwaka 2014 kwa Tummogele, Mkali wao huyu toka Mbeya Anazidi Onyesha uwezo wake siku hadi siku katika Musiki wa Miondoko ya Hip Hop Tanzania Na Dunia nzima kwa Ujumla. Unataka Jua nini kazungumzia? Zaidi Sikiliza track yake Hio Ya Tummogele Hapa.

NELLY BE FT MAC,CLOUDY 9,MKWAWA SILE, - LOVE

TRACK Inaitwa LOVE, na Imesimamiwa na NELLY CALOCY MSAMILLA Katika Music Industries natumia Jina La NELLY BE Pia Mimi ni Mwandaaji na Mtangazaji wa Vipindi Vya Burudani na Music Director/Music Manager NURU FM Iringa Tanzania  , Ni Wimbo Unao Husu Maswala ya Wapendanao. Ni Wimbo Ambao Unatoka Katika Mixtape na Albamu ya B.M.B..Naomba Sapoti yenu , Huu Ni Mwanzo Tu nimeanza na Upcoming Artst Track ya Pili Itahusisha Mastaa wakubwa.

Humo Ndani yupo NELLY BE FT MAC,CLOUDY 9,MKWAWA SILE, _LOVE Ni Zawadi ya VALENTINE