Wednesday, January 29, 2014
KEVOO HARD ft STEVE WHITE - TUJIDAI
Kevoo Hard kashuka tena na mzigo mpya uitwao Tujidai, akiwa kamshirikisha Steve White. Anaomba suport yako mdau, kwa maoni ushauri na hata kurequest track yake hio kwa media mbalimbali punde itakapo tangazwa rasmi. Zaidi waweza ipata hapa track hio.
NAS WAKITAA FT CHIBWA - MONEY ON MA MIND
FREGE ft JESHI LA WOKOVU - MKWANJA MEZANI
OB (Maphiyonso) ft DenyoRasmi - HipHop RaDio.
JOVIARY FT BENADO - USINIWEKEE HILA
Joviary ni Artist Anaetokea mbaye anakuja, kwa kasi zaidi kwenye gem na nyimboyake Iitwayo USINIWEKEE HILA Chini ya Tabasam Music. Amejaliwa kua na sauti nzuri, ni mwenye kipaji kuanzia utunzi mashairi mpaka Vocal. Mtaani kaanza na kazi hii kama kaziyake ya kwanza, Na mpaka leo ana kazi nyingine Mpya inayokuja, baada ya hii, Anaomba Saana Msaada wako, wa mawazo, Maoni, Ushauri na Ikiwezekana management. Week Hii Mwishon atakua Mafinga kufanya Video ya wimbowake mwengine Mpya Kwa Ofa Maalum Kutoka Alama Xp Video Production. Unataka Jua zaidi juu ya Artist Huyu Mpya Toka Mbeya? Uscose tembelea hapa mara kwa mara Kila kitu utakipata.