HII HAPA CHINI NI AUDIO INAYOFANYIWA VIDEO HIO.
Sunday, September 28, 2014
TEL OMAINO FT KAUYE - BADO NIPO NAE ( PICHA ZA LOCATION )
Artist: Tel Omaino ft. Kauye
Production: 29Record/ Suly
Director: Timmy San
Timmy Production
Video coming soon
Video imefanyika mbezi beach Dar es Salaam na baadhi ya vipande vimechukuliwa maasai club. kinondoni
MAPICHA YA LOCATION, VIDEO NJIAN COMMING SOON. MTAISOMA HAPA HAPA WADAU.
HII HAPA CHINI NI AUDIO INAYOFANYIWA VIDEO HIO.
HII HAPA CHINI NI AUDIO INAYOFANYIWA VIDEO HIO.
Sunday, September 21, 2014
MJUE MSHINDI SUPER NYOTA IRINGA 2014 ( UP DATE INFO )
SHINDANO LAKUSAKA VIPAJI VYA WASANII WAMUZIKI WA KIZAZI KIPYA, AMBALO HUA LINADHAMINIWA NA SERENGETI FIESTA KILA MWAKA. LIMEWEZA MUIBUA MWANADADA ATTU MC KAMA MSHINDI WA SUPPER NYOTA IRINGA AMBAE ATAKWENDA UWAKILISHA MKOA WETU IRINGA DAR KWA KUMSAKA MSHIND SUPER NYOTA NCHI NZIMA. MOJA YA OFFA ATAKAZOPATA MSHINDI KATIKA GRAND FINAL DAR ATAFANYA TRACK MOJA BURE ( AUDIO NA VIDEO ) COLLABLE NA DIAMOND PLATNUMZ.
BIG UP ATTU, TUNAKUTAKIA UWAKILISHI MWEMA KWENYE GRAND FINAL DAR. LINI NA ITAKUAJE UTAJUZWA HAPA HAPA KUPITIA UKURASA WETU HUU.
Saturday, September 20, 2014
Sunday, September 14, 2014
POISON FT STAMINA & KENNY - MNIPOKEE ( NEW AUDIO )
Monday, September 8, 2014
MOSE MVP FT K MARROW - JOGOO ( NEW AUDIO )
Mose Mvp ft K Marrow Song:- Jogoo Producer:- Keny Studio:- Chris record Mobile 0767 374 762 Mose MVP K Marrow 0765 644 210 Tunaomba support yenu wadau; mchango wa mawazo yenu juu ya hii nyimbo asanteni sana kwa kuisapoti
LINS - SIJACHOKA ( NEW AUDIO )
upcoming artist kutoka mbeya akiwa na wimbo mpya unaitwa SIJACHOKA uliofanywa kiri records pamoja na jav records ya mbezi, tunamin ni mzik mtamu tunaitaji saport yenu
Friday, September 5, 2014
Tuesday, September 2, 2014
KEVOO HARD FT LILIAN - EMIWADO (NEW VIDEO)
LONKA - BEAUTIFUL SMILE ( NEW VIDEO - comming soon )
Baada ya Video ya Hakuna Matata, Lonka Msanii toka Iringa, ambae kwasasa yupo dar es salaam kwa mahangaiko yakimaisha, anataraji ingi amtaani na video mpya itakayokwenda kwa jina la BEAUTIFUL SMILE Ilofanyika Dar chini ya Director, Jackson Joachim.
Lonka anawaomba wadau wote wamuziki Tanzania na mashabiki kumpa support soon video itakapo dondoka mtaani. Mdawowote kuanzia sasa itaanza patikana hapa hapa kwa blog gii. Support ndo kila kituuuu.