Saturday, December 14, 2013

B ALONE ( Artist toka Njombe Mkali wa stage Nyanda za Juu Kusini, yaani Hakunaga 2013)

B ALONE MWANA MUZIKI TOKA MKOANI NJOMBE MWENYE CREW IJULIKANANAYO KAMA LUCK NUMBERS, CHINI YA DPM ENTERTAINMENT  KWA MUJIBU WA MASHABIKI NA CREW NZIMA YA BLOG HII HUYU NDIE MSANII BORA KWA KUMILIKI JUKWAA NA KUPIGA SHOW KALI. LICHA YA KUA ANA MADANSA PIA ANAJUA KUCHEZA NA KWENDA SAWA NA MADANSA WAKE ANAPOKUA JUKWAANI. PIA AMEKUA AKIPIGA SHOW LIVE, WALIO WAHI HUDHURIA SHOWZ ZAKE, WANAWEZA KUA MASHAHIDI, WAKIFANANISHA NA WASANII WENGINE WA NYANDA ZA JUU KUSINI. MFANO, SHOW YA MTIKISIKO MAKAMBAKO 2013, ALIFUNIKA NOOOMA.
PIA NDIE MWANAMUZIKI PEKEE AMBAE ANAKUBALIKA NYUMBANI YAANI KWAO NJOMBE. UKIFIKA NJOMBE NA UKAANDAA SHOW YAKO BILA B ALONE KUWEPO HUFANYI BIASHARA. HAYA NIMEWEZA YASHUHUDIA MWENYEWE. ALIPOULIZWA NAE KWANINI, AMEKIRI KUA NA MAHUSIANO MAZURI NA MASHABIKI WAKE PAMOJA NA JAMII INAYO MZUNGUKA, KUANZIA WATOTO MPAKA VIKONGWE. PIA AMEKUA HACHAGUI SHOW ZA NYUMBANI KINA ANAPO ALIKWA.
BAADHI YA WANAMUZIKI WAKONGWE KWENYE GEM WALIO KIRI KUMKUBALI B ALONE NI, MRISHO MPOTO, NURU ELY, LINA, NA WENGINE KIBAO, INGAWA TETESI ZA KITAA ZINASEMA NA MKUBWA DIAMOND, ANAMHOFIA SANA HUYU DOGO KWA UJIO WAKE STEJINI.
BAADHI YA MAVAZI ANAYO PENDELEA TUPIA HASA ANAPOKUA JUKWAANI NI KAMA YENYEMTINDO HUU.
HUYU NDIE NABII PEKEE MIKOA YA KUSINI ANAEKUBALIKA KWAO. MWAKANI ANANDOTO ZAKUFANYA MAKUBWA SANA KWENYE GEMU YA MUZIKI. PIA ANAMPENDA SAAANA MAMA YAKE MZAZI, NA WANA LUCK NUMBERS. MWISHO KABISA ANATOA SHUKURANI ZAKE ZA DHATI KWA BWANA DEO MWANYIKA KWA KUMWEZESHA KIMUZIKI MPAKA SASA ANAFAHAMIKA TANZANIA NZIMA KATIKA TASNIA YA MUZIKI, KUPITIA DPM ENTERTAINMENT. ZAIDI TEMBELEA HAPA CHINI KUTIZAMA VIDEO YA BAADHI YA SHOW ZAKE MWAKA 2013. http://youtu.be/APUAUZuLHW4  

EMMO DA PRO' FT MED C - NIPE KIDOGO ( Mwanamuziki Bora katika miondoko ya POP na Mbunifu Zaidi Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania 2013)



EMMO DA PRO' NDIE MWANAMUZIKI BORA WA MWAKA 2013 KATIKA MIONDOKO YA POP, NA PIA NDIE MWANAMUZIKI MCHANGA PEKEE TOKA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI ALIEWEZA ONEKANA ANAWEZA PAMBANA NA SOKO LAKIMATAIFA KWA UBUNIFU ZAIDI KATIKA KAZI ZAKE,NA KATIKA KUUTANGAZA MUSIC WA KIAFRIKA. HII IMEWEZA DHIHIRIKA KWA BAADHI YA NYIMBO ALIZOWEZA FANYA MWAKA HUU. NA PIA KUTO FANANA NA MWANAMUZIKI YEYOTE KATIKA STAIL ANAYO FANYA MPAKA MIDUNDO ANAYOTEMBEA NAYO AMBAYO PIA AMEKUA AKIIFANYA MWENYEWE. MFANO UNAWEZA SIKILIZA WIMBO WAKE MPYA HAPA CHINI UITWAO NIPE KIDOGO, NA UKAFANANISHA NA NYIMBO ZOTEE UZIJUAZO WEWE TOKA MIKOA YA KUSINI, UNAWEZA GUNDUA KITU. KIKUBWA ANAHITAJI SUPPORT YAKO MDAU NA USHAURI PIA ILI KUTIMIZA NDOTOZAKE ZA MUSIC NA KUKUBURUDISHA ZAIDI.

Sunday, December 8, 2013

Mike Tee ft Juma Nature - Uliniona sina maana.

MKALI WA WANYALU TANZANIA NZIMA MIKE TEE KATUA NA MZIGO MPYAA KABISAA AKIWA KASIMAMA NA MKALI JUMA NATURE. FANYA KAMA UNAUDOWNLOAD NA KUUSIKILIZA HAPA. MAONI YAKO YATAKUA MUHIMU SAANA KWETU PIA. PAMOJA TWAWEZA.

Friday, December 6, 2013

NEST FLASHA WEST - MaLove

 NEST FLASH WEST artist toka Mkoani Mbeya anaekuja na yake yamoto zaidi, kwanye Muziki wa miondoko ya Rnb chini ya studio Ya Mashada Inc Toka Mbeya. Anahitaji support yako Mdau. Zaidi Tembelea Hapa chini kupata track yake.


KEVOO HARD - Rip Paul Walker

HII NI KUTOKA KWA MSANII MCHANGA TOKA IRINGA TOWN AITWAE KEVOO HARD. SOMA NA SIKILIZA HAPA ALICHO KIZUNGUMZIA JUU YA KIFO CHA PAUL WALKER. Kama mdau mkubwa wa movie za Fast and the Furious na kama kioo cha jamii msiba wa Paul Walker umenigusa sana hadi kuchukua mda wangu kutoa haya maneno kwa wadau WA MOVIE na wasanii wenzangu tanzania na dunia nzima. clink link kusikiliza

Sunday, November 17, 2013

SILVIA - nauliza why

ARTIST TOKA MBEYA, AJULIKANAE KAMA SILVIA, KASHUKA NA MZIGO MPYA UITWAO WHY? ULOFANYWA NA GACH-GREEN RECORDS, MBEYA.SHE HAVE GOOD VOICE, NICE BEAT, IMPRESSIVE......... KAMA HUAMINI FANYA KAMA UNAIDOWNOAD HAPA CHINI NA KUISIKILIZA. ANAOMBA SUPPORT YAKO MDAU. COMMENT ZAKO ZITAKUA MUHIMU PIA. MBEYA CITY STAND UPPPPPPP WITH SILVIA.

KEVOO HARD ft CALLUU - Star

KEVOO HARD ft CALLU MZIGO UNAITWA STAR. MKALI TOKA IRINGA. FANYA KAMA UNAUTEMBELEA HAPA COMMENT, NA SUPPORT YAKO NDO KILA KITU MDAU. PAAAAAAAAAAH.

RASCO J ft TYTAH - Silent Killer

RASCO J AKIWA KAMSHIRIKISHA TYTAH, TRACK INAKWENDA KWA JINA LA SILENT KILLER CHINI YA BANTU MUSIC. KWA MAONI NA USHAURI ZAIDI ITEMBELEE HAPA CHINI. SUPPORT YAKO NDO KILA KITU MDAU.

Friday, November 15, 2013

HIKI NDIO KIPAJI KILICHO JIFICHA TOKA MIKOA YA KUSINI.

MKALI WAO IRINGA NA MIKOA YA KUSINI EMMO DA PRO' TOKA DA PROS ENTERTAINMENT, IKIWA CHINI YA USIMAMIZI WA EMMO DA PRO' MWENYEWE. INAVITU VINGI SAANA HII KITU. ANAHUSIKA NA VIDEO PRODUCTION, AUDIO PRODUCTION, DOCUMENTARIES PRODUCTION, GRAPHIC DESIGN, ADVERISEMENT NAPIA HUYU NDIO MKALI WA MUZIKI WA MIONDOKO YA POP NYANDA ZA JUU KUSINI NA TANZANIA NZIMA. CHAMWISHO KABISA NI KWAMBA YEYE NDO MWENYESEGMENT YA "GHETO VOICE" TOKA RADIO EBONY ILIOKO KILA JUMATANO SAA 08:30.  HIKI NDIO KIPAJI KILICHO JIFICHA TOKA MIKOA YA KUSINI.
KWA MAWASILIANO ZAIDI MOJA KWA MOJA NA EMMO WAWEZA MPATA KUPITIA
emmo88@yahoo.com

KEVOO HARD ft Q CHILLA - LOVE

KEVOO HARD, ARTIST TOKA IRINGA ALIE BAHATIKA FANYA TRACK MOJA NA Q CHILLA (MNYAMA) IITWAYO "LOVE". BADO ANAHITAJI SUPPORT YAKO NA USHAURI PIA KWA KAZI YAKE. ZAIDI ICHEKI HAPA CHINI.

MANDELA THE SNIPER ft MEDA CLASSIC - UMENISHIKA

MKALI WAO TEKU MBEYA KWA HIPHOP, SASA KASHUKA NA MZIGO MPYA ITWAYO "UMENISHIKA" AKIWA KAMSHIRIKISHA MEDA CLASSIC TOKA STUDIO ZA BANTU MUSIC IRINGA, CHINI YA PROGRAM MAALUM TOKA KWA STEVE WHITE. USHAURI NA SUPPORT YAKO NDO KILA KITU. MBEYA CITY STAND UP!

Saturday, November 9, 2013

STANNA FT RAYMOND - RAP

STANNA THE BEST ARTIST FROM MBEYA NA MIKOA YA KUSINI KWA UPCOMMING ANAEFANYA HIPHOP. HUYU NDIO SERENGET SUPER NYOTA TOKA MBEYA 2013.NDO MKALI WA NEW SCHOOL ANAEKUJA TAKE OVER KWA HIPHOP OLD SCHOOL TANZANIA. KUELEWA NINI NAMAANISHA FANYA KAMA UNAIDOWNLOAD TRACK HII. BIG UP KWA QBASS QUALITY TOKA TABASAM MUSIC KWA KUFANYA MKITO UNIQUE NA QUALITY. SUPPORT YENU NDO KILAKITU WADAU. MIAAAAAAA.

SKOSA ft CLARENCE - NIMEKUA

MRITHI WA MIKOBA YA NIKKI MBISH HUYU HAPA, DOGO ANAEKUJA KWA KASI ZAIDI NYANDA ZA JUU KUSINI KWA HIPHOP, KID SKOSA, production imefanywa na KESSIZKESH RECORDS - MBEYA. SOPPORT YAKO NA MAONI NDO KILA KITU KWA KIPAJI HIKI KICHANGA. Mwambieni Nikki Mbish Ajipange coz Mapinduzi yamewadia.

EMMO DA PRO' ft DJ NAS - PARTY TIME

EMMO DA PRO' MKALI MWENYE VIPAJI VILIVYO FICHIKA. NGOMA HII KATENGENEZA MWENYEWE KUANZIA BEAT MIXING MASHAIRI MPAKA POSTERS HII, PIA ANAFANYA VIDEO PRODUCTION. BUT JAMA KAFICHAMA SAAANA HUYU, COZ HAPENDI KUA MUWAZI NA VITU ALIVYONAVYO MPAKA NILIPOTUMIA NGUVU YA ZIADA KUUPATA MZIGO HUU, NDO AKAUACHIA. KIJANA WA KUSINI IRINGA TANZANIA ANAFANYA YAKE PIA. SUPPORT YAKO MDAU NDO THEBEST. MIAAAAA.

NAS WAKITAA Ft MAYUNGA Song Ukowapi Upendo

CHEKI NA VIDEO PYAAAA, NA QUALITY YA JUU TOKA KWA MTOTO WA MAFINGA IRINGA NAS WAKITAA AKIWA KAMSHIRIKIWA MAYUNGA. KWASASA YUPO DAR KATIKA MIHANGAIKO YAKIMAISHA. ANAOMBA SUPPORT YAKO MDAU. COMMENT PIA ITAKUA MHIMU SAAAANA. ENJOY!!!!!!!!!!!!!!!!!

MIKE T ft SOPRANO - UNANITEGA

TRACK MPYA KABISA YA MIKE AMBAYO KAMSHIRIKISHA SOPRANO, ITAKAYOPATIKANA KATIKA ALBUM YAKE MPYA INAYOKUJA KWA JINA LA "KAZI ZA NJE" SUPPORT YAKO NDO KILA KITU MDAU.

MATUSI YA EDDO BASHIRI MTIKISIKO MAKAMBAKO 2013

HAYA NDO MATUSI YA EDDO BASHIRI MTANGAZAJI WA EBONY FM KWENYE TAMASHA LA MTIKISIKO MAKAMBAKO TAR 02/11/2013

Saturday, October 26, 2013

TRUBADOUR WITH THB - AFRICA TUBITE

TRUBADOUR WITH THB - AFRICA TUBITE
Moja ya Mikono Hataaaaree alofanya Steve White Iringa - Bantu Music Kusupport vipaji Nyanda za Juu Kusin. Much respect kwa steve white.
Sikiliza na Download Hapa kwa Support zaidi .

TROUBADOUR, JOFF & RASCO J - KIJIWE (Bantu Muzic)

 
TROUBADOUR, JOFF & RASCO J WATUA NA TRACK IJULIKANAYO KAMA KIJIWE TOKA BANTU MUSIC IRINGA ZAIDI TEMBELEA HAPA KUISIKILIZA NA KUTOA SUPPORT YAKO KAMA MDAU WA MUSIC.

Friday, October 25, 2013

ECHA FT PAS P - USINISAHAU

CHEKI NA MZIGO MPYA WA KIPAJI TOKA SONGE, ECHA FT PAS P - USINISAHAU. (HUYU JAMAA NI MKALI WA FREE STYLE HATAARE) SUPPORT YAKO NDO KILA KITU MDAU.

Brudda ZeHunter ft Nasmile - Utamu.

http://youtu.be/5GJESvu81jQ

Brudda ZeHunter ft Nasmile - Utamu.

Sunday, September 29, 2013

TABASAM MUSIC NA MUSIC NYANDA ZA JUU KUSINI.

TABASAM MUSIC, NI MUSIC PRODUCTION STUDIO ILOANZIA FANYA KAZI DAR MIAKA YA 2003 NA BAADAE KUHAMIA MBEYA. THEN KWASASA INAPATIKANA IRINGA CHINI YA PRODUCER QBASS QUALITY ALIOPO KWENYE PICHA HII. STUDIO HII IMEKUA IKIJA KWA KASI SANA HASA KWENYE KUFANYA KAZI ZA HIP HOP. MIDUNDO INAYOFANYIKA HAPA NI NEXT LEVEL MPAKA IMEWEZA MTOA SUPER NYOTA WA FIESTA 2013 MBEYA AITWAE STANNA.
HAPA QBASS QUALITY AKIWA NDAN YA STUDIO ZA TABASAM MUSIC AKIFANYA YAKE. MIPIKO IFANYIKAYO HAPA HATAARI MANZEEE.
BLOGGER SELENGA KADUMA KUSHOTO NIKIWA NA PRODUSER QBASS NDAN YA STUDIO YAKE SIKU CHACHE ZILIZOPITA BAADA YA KUMTEMBELEA. NILIVUTIWA NA KAZI ZIFANYWAZO HAPA. NIKAPANDA GARI TOKA MAFINGA NA KUTUA IRINGA KUMSABAHI.
BLOGGER KUSHOTO NIKIWA NA RAYMOND WA TIP TOP CONNECTION ALIEIMBA CHORUS YA POMBEYANGU MADEE. MTOTO WA MBEYA HUYU NILIMKUTA HUMU PIA AKIFANYA YAKE.
RAYMOND, JAY, MUTTA, STANNA, NA WISMA NI BAADH YA ARTIST PIA NILOWAKUTA TABASAM MUSIC SIKU HIO.
FADDY (MTANGAZAJI NURU FM) TOKA KUSHOTO NA AKINA RAYMOND, JAY MUTTA, STANNA, WISMA WAKIWA NDAN YA TABASAM MUSIC.
BLOGGER TOKA KUSHOTO, NELY (MTANGAZAJI NURU FM) FADDY MTANGAZANI NA STANNA ARTIST SUPPER NYOTA MBEYA 2013 AKIWA NDAN YA TABASAM MUSIC.
MAN SIMPLE MTANGAZAJI NURU FM, NEMY ARTIST, FADDY, SEBBA - programmer manager, FRIDA MTANGAZAJI NURU FM, NA EDDO BASHIRI -ALIEKUA MTANGAZAJI EBONY FM PIA WALIKUAPO WAKITEMBELEA TABASAM MUSIC CHINI YA QBASS QUALITY BAADA YA KUVUTIWA NA KAZI ZAKE.
QBASS AKIWA KAPIGA POZ NDAN YA NDINGA WATOTO WAKITAA WANASE. AMEKUA AKIZIDI JICHUKULIA UMAARUFU MKUBWA KAMA PRODUCER BORA KUTOKANA NA UBORA WA KAZI ANAZO ZIFANYA. MIMI NIMEPATA BAHATI YA KUZISIKILIZA HATA ZILIZOPO JIKON HAZIJATOKA. EBANEE, HATAAAARI TUPU. PRODUCER WA KUSINI NA TZ KWA UJUMLA JIPANGENI. COZ JAMAA AKIANZA TEMA MIGODI ILIOKO JIKONI KWA MEDIA NA MTAANI, ITAKUA BALAAAAA.
TABASAM MUSIC KWA SASA INAFANYA KAZI KWA OFA MAALUM KWA MUJIBU WA QBASS, AMBAYO NI 100000 TU KWA TRACK. OFA HII NI YA MUDA TUU, BAADA YA HAPO HUENDA BEI ITABADILIKA. PIA ANATAFUTA ARTIST WA NYANDA ZA JUU KUSINI WAKONGWE AFANYENAO PROJECT MAALUM. KAMA NAWE NI MMOJA WAO FANYA KAMA UNAMTAFUTA MYAJENGE. BAADH YA TRACK ALIZO FANYA ZINASOMEKA HAPA CHINI KAMA IFUATAVYO,

Saturday, September 28, 2013

NEMY- NIMEACHA POMBE

Nemy Artist Mkali toka Iringa Kuja na Track Mpya iitwayo Nimeacha Pombe, Chini Ya Sampamba Music. Zaidi Sikiliza ama Downloa track Hio chini hapa, support yako Mdau. Soon atatua na Track Nyingine alofanya na Mkali Wa Kuimba tz kwa sasa. Artist gan ka simama nae, Na track inakwenda kwa Jinagan, Subiri hapa hapa, Utapata kila kitu kitaaaaam.

NAS WAKITAA ft MAYUNGA - UPENDO

Nas wa kitaa Artist Toka Mafinga-But Kwa sasa akiwa Dar, katua na Bongemoja la Mzigo yaani track Mpya Aliomshirikisha Mayunga Iitwayo Upendo. Bonge Moja la Ngoma Aisee, Fanya Kama unalitembelea hapa.

<iframe id="hulkshare-player-embed" name="hulkshare-player-embed" src="http://www.hulkshare.com/hsPlayer/embed/embed_clean.php?fn=fo6on1dyjfgg&enableDownload=1&enableCover=1&enableAdd=false&bg=undefined&fg=undefined&iconColor=undefined&backColor=undefined&outColor=undefined&overColor=undefined&textColor=undefined&tintColor=undefined&pid=&type=7&width=100%" scrolling="no" frameborder="0" allowTransparency="true" style="width:100%;height:160px;"></iframe>

Friday, September 13, 2013

STANNA - NEW ERROR

STANNA - New Error
Upcomming Artist Na Super Nyota wa Fiesta 2013 Mbeya. Mgodi wa Punchline Hataari. Akiwa chini ya Tabasam Records, Iringa kwa QBass. Fanya kama unachungulia chini hapo Uwezo wake. Sidhan kama kuna mwana HipHop Anaweza Tembea level za huyu dogo. Kama unabisha chungulia hapa
http://www.hulkshare.com/frhwproua41s

Mario By Ocu Ft Dogo Scope




A New artist from Lupanga Ludewa - Njombe. Under Director Tenya Brown and Cris Records.

Ujio mpya wa Man Simple Chini ya Produce QBass-Tabasam Records Huu hapa.

Huu ndio ujio Mpya wa Artist Toka Iringa Town, Man Simple. Kwasasa anasomeka na track yake Mpya iitwayo KIKAPTAIN ZAIDI, Chungulia hapa http://www.hulkshare.com/afjkckzulukg
Na pia amekuja na Mzigo  Mwingine wakiwa na Geez Mabovu Uitwao MREMBO WA KUSINI nao pia chungulia hapa, http://www.hulkshare.com/raqycv69fn5s Yote ikitoka Tabasam Records Chini ya Produce QBass.

Monday, September 9, 2013

HIVI NDIVYO FIESTA SUPER NYOTA IRINGA 2013 ( ANGE TENA) ALIVYO PATIKA. FWATILIA HAPA.

 Kumsaka Super Nyota Iringa 2013 Ilianzia hapa, Man Fisa on Da stage, Mapemaaaaa alifungua.
 Then akafwatiwa na Nas, kama kawa on Da stage.
 Wa 03 akawa Absalum kupagawisha mashabiki kama kawa.
 04 akanikimbizia Zack Mzee wa kalunde, kama kawa stajin.
 05 Akawa Denyo toka Tabasam Records akifanya yake piaaaaa.
 06, Nemy akaonyesha yake alio nayo toka moyoni kwa stage.
 07 akawa Mkali Rasho akifanya yake pia stajin.
 08 Watoto wa sampamba Music wenye radha tofauti pia wakalindimisha umati hataaaariiii.
 09 Meda hakua nyuma, nae alifanya yake pia kwa stage warembo wengi hawakusita onyesha hisia zao juu yake kwa usmati aliokua naom.
 10 Then Super Nyota wetu Iringa, Namzungumzia Ange tena alifungia round ya mashindano na hatimae kuchukua Crown.
 Walisindikizwa na list ndefu ya wasanii But toka nyanda za juu kusini Alikua Mwanadada Ney-Lee Super nyota wa fiesta Mbeya 2012 on da stage akifanya mambo yake.
Wa pili alikua Mkali Quick Rocker toka Mbeya, akifanya yake on da stage. Kwa ufupi Ndivyo Ange tena Super nyota wa fiesta Iringa 2013 alivyo patika kati ya washiriki 10 walio kua wakichuana hapo. Big up sana Ange tena kwa kutuwakirisha.

Saturday, September 7, 2013

frege NAOMBA (official music video)


Cheki na Kichupa cha Frege-Naomba Kipaji toka Iringa town. Kichupa chini ya Kaloka Ngome.

Felix Dizzoro - V.V.U

Felix Dizzoro Kuja na track iitwayo - V.V.U toka makambako - Njombe. Upcoming hataari kwenye HipHop, fanya kama unafwatilia link chini hapo ya Wimbo wake huo toka Super Records. Support yenu wadau.

http://www.hulkshare.com/d1fqfylbzxts