Monday, March 11, 2013

Jay Mutta ft Yaki - CHEMBA ZINAVUNJIKA

Track Mpya Kabisa na Hatari toka kwa Jay Mutta ft Yaki itakayokwenda kwa jina la CHEMBA ZINAVUNJIKA. Tayari isha kamilika na Inazungumzia Ugumu wa maisha halisi ya Mtanzania kwa sasa, Beat Mpaka Mixing ikiwa imefanywa na Amba. Track Hii inategemea Ingia Mtaani Mapema Wiki Ijayo. Track Hii ina Beat Kali na Hasa Chorus Hataaari + Mashairi yaloenda Shule. Swali la kizushi, Unadhan kati ya Mutta na Yaki Nan atakua kamfunika mwenzie? Next weeck tutapata Jibu.

Saturday, March 9, 2013

J-Young the Young Producer

J-Young the young Producer In Town On Location Mafinga.

Stay Tuned wakazi wa Mafinga na Nyanda Za Juu kusini kwa Ujumla.

Dr Tenya Brown on Location at Mafinga.

the young Director Tenya Brown On Location Mafinga Mapema wiki hii. Unataka jua kichupa cha nani kilikua kinahusika hapo? Stay tuned....

Muonekano Mpya wa Cris Records Mafinga.

Huu ndio Muonekano Mpya wa Cris Records Mafinga. But still under construction. Soon Mtaelewaaaa.